Pongezi kwa Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli kwa kuwatahadharisha Vijana juu ya Madawa ya Kulevya na Ngono zembe.

uploaded 03/11/2017

 

M

waka 2000 Tanzania ilitangaza UKIMWI kuwa janga la Kitaifa. Katika kuimarisha juhudi hizi, mwaka 2004,  serikali iliweka mpango wa upatikanaji bure wa dawa za kufubaza makali ya VVU na kuhamasisha upimaji wa VVU. Hadi sasa kwa mujibu wa takwimu zilizopo takribani watu 1,400,000 wanaishi na maambukizi ya VVU na kati ya hao, takr... read more

  • COAT OF ARM
  • UNAIDS
  • USAID
  • TACAIDS
  • GLOBAL FUND
  • GNP


The National Council of People Living with HIV & AIDS in Tanzania (NACOPHA) Mbezi Beach Area, Block 'F' Plot no. 450/5 Mwai Kibaki Road, Kinondoni District, Dar es Salaam,Tanzania
Copyright © 2019 NATIONAL COUNCIL OF PEOPLE LIVING WITH HIV TANZANIA