IJUE SHERIA YA UKIMWI TANZANIA / THE HIV AND AIDS (PREVENTION AND CONTROL) ACT, 2008

uploaded 29/07/2016

Sheria ya Ukimwi yaani “THE HIV AND AIDS (PREVENTION AND CONTROL) ACT, 2008” ilipitishwa na Bunge la Jamhuri ya Mungano wa Tanzania tarehe 1 Februari, 2008. Tarehe 4 Aprili, 2008, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Kikwete. Sheria hii ni mahususi kwa ajili ya kuzuia maambukizi ya virusi vya UKIMWI, kuendeleza na kutunza afya ya jamii kuhusiana na virusi vya UKIMWI na UKIMWI. Sheria hii pia inatoa mwongozo wa huduma inayotakiwa kwa watu walio ambukizwa au kwa wale waliokatika hatari ya kupata maambukizi ya virusi vya UKIMWI kwa kutumia rasilimali zilizopo.

 

download file
  • COAT OF ARM
  • UNAIDS
  • USAID
  • TACAIDS
  • GLOBAL FUND
  • GNP


The National Council of People Living with HIV & AIDS in Tanzania (NACOPHA) Mbezi Beach Area, Block 'F' Plot no. 450/5 Mwai Kibaki Road, Kinondoni District, Dar es Salaam,Tanzania
Copyright © 2019 NATIONAL COUNCIL OF PEOPLE LIVING WITH HIV TANZANIA