TAARIFA YA KUFANYIKA MKUTANO MKUU WA BARAZA (AGM) - 2018

uploaded 24/07/2018

Kwa mujibu wa Katiba ya Baraza sura ya Sita Kifungu 6.1. kinaelekeza Baraza kuwa kutakuwa na Mkutano Mkuu wa Baraza utakaoandaliwa na kuitishwa na Bodi ya Uongozi.
  Kwa kuzingatia kifungu 6.1(iv), kwa niaba ya Bodi ya Uongozi wa Baraza napenda       kutoa taarifa rasmi ya kufanyika mkutano Mkuu wa Baraza. Mkutano huu unatarajiwa   kufanyika tarehe 25 na 26 October, 2018 kama ilivyo elekezwa na Bodi katika kikao     chake cha kawaida tarehe
    12/07/2018.
     Mkutano huu pia utahusika na uchaguzi mkuu wa Viongozi wa Baraza. Agenda            zote za mkutano kwa wajumbe zitatolewa hapo baadae. 

download file
  • COAT OF ARM
  • UNAIDS
  • USAID
  • TACAIDS
  • GLOBAL FUND
  • GNP


The National Council of People Living with HIV & AIDS in Tanzania (NACOPHA) Mbezi Beach Area, Block 'F' Plot no. 450/5 Mwai Kibaki Road, Kinondoni District, Dar es Salaam,Tanzania
Copyright © 2019 NATIONAL COUNCIL OF PEOPLE LIVING WITH HIV TANZANIA