UCHAGUZI WA UWAKILISHI KWA WATU WANAOISHI NA VVU KWENYE TNCM – GLOBAL FUND KWA KIPINDI KIPYA KUANZIA NOVEMBA 2018 – OCTOBER 2021

uploaded 29/08/2018

Baraza la taifa la watu wanaoishi na Virusi ya UKIMWI Tanzania (NACOPHA) linapenda kukufahamisha
kwamba kipindi cha uwakilishi wa watu wanaoishi na VVU katika chombo cha juu kabisa kitaifa cha maamuzi
(TNCM) juu ya ufadhili wa miradi ya UKIMWI, Malaria, na Kifua Kikuu “Global Fund To Fight
Tuberculosis, AIDS and Malaria” kinamalizika mwaka huu, hivyo Watu Wanaoishi na VVU nchini
wanatakiwa kufanya uchaguzi mpya wa wawakilishi wao kabla mwisho wa mwezi Septemba 2018.  

download file
  • COAT OF ARM
  • UNAIDS
  • USAID
  • TACAIDS
  • GLOBAL FUND
  • GNP


The National Council of People Living with HIV & AIDS in Tanzania (NACOPHA) Mbezi Beach Area, Block 'F' Plot no. 450/5 Mwai Kibaki Road, Kinondoni District, Dar es Salaam,Tanzania
Copyright © 2019 NATIONAL COUNCIL OF PEOPLE LIVING WITH HIV TANZANIA